Kamata mpunga kwa nataka sasa
Unapenda nianze na mfano juu mdogo
Akitokea mtu akakwambia njoo huku utapata pesa haraka kimbia hakuna pesa ya rahisi kiasi hicho.
Na ukiona imekuja kirahisi ujue itaondoka kiurahisi vilevile.
kwa experience yangu kwenye biashara ya mtandao, naomba nikushauri wewe unaetaka kuungana nasi kwenye industry hii kwamba, Network marketing ni njia rahisi ya kupata pesa , wala sio bahat nasibu, ni biashara inayohitaji muda, uvumilivu, kufanya kazi, kama biashara nyingine yeyote ile.....lakini nakupa uhakika kwamba.ni biashara ambayo ambayo mtu yeyote mwenye njaa na mafanikio anaweza kufanikiwa kwa sababu haiitaji elimu wala cv na ipo flexible sana
Kuwa makini usibwebwe na mihemko
Karibu oriflame leo
Ahsante
Waweza kutupata kwa mawasiliano au njia ya mitandao ya kijamii
WhatsApp. 0659451141
0765896355/0684127127
Facebook. Afya daily
Instagram .Mr welfare
0 comments:
Post a Comment