Naitwa flora Mtabazi ni member wa kampuni la Oriflame napenda kukukaribisha kwenye blog yetu inayojihusisha na utumiaji wa bidhaa asilia zitokanazo na mimea, maziwa, matunda, asali na mazao ya baharini. Oriflame ni kampuni kutoka Sweden oriflame ni kiswedish maana yake Asilia karibu ujipatie bidhaa mbalimbali zinazoondoa miwasho, harara, chunusi, michirizi, madoa yaliochwa na chunusi na lotion nzuri za kuweka ngozi kuwa na mwonekano asilia bila kuchubua ngozi yako pia napenda kukukalibisha tufanye biashara pamoja oriflame inakupa fursa kijana, mama, baba ya kujipatia kipato chochote utakacho taka haijarishi uwe wapi ama unakaz hna kaz hapa utajipatia kipato cha ziada nyote mnakalibishwa
0 comments:
Post a Comment