Sababu kumi kwanini hutafanikiwa kimaisha:
(1) Huna tabia ya kupaza sauti yako ili dunia isikie mahitaji yako na ndoto yako, zaidi upo busy kuongelea Udaku na Maisha ya wengine . Are you serious?
(2) Umepanda gari lisilo sahihi halafu unataka kufika sehemu sahihi.... Kivipi kwa mfano?
(3) Kila unachokipata unakula tu bila kujali kuwa unakula na mbegu. Ni akili hizo?
(4) Umezungukwa na Wanafiki, wambea, wanoko wasiojali ndoto zako. Na unahangaika kuwafurahisha kana kwamba unalipwa.
Tatizo ni nini?
(5) Kichwa chako kimejaa visingizio vingi kana kwamba utaishi milele duniani. Hivi umesahau Muda umeisha?
(6) Una tabia ya kuishi kwa mihemko na kufuata mkumbo. Ukisikia hiki upo, ukisikia kile umo.. Huna maamuzi yako, unapelekeshwa kama roboti. Hivi Mungu aliumba kichwa cha nini?
(7) Una tabia ya kusubiri sana mambo yakae Sawa. Subiri sana Wakati wenzako wanaanza na kile walichonacho mkononi. Umesahau Mungu alimuuliza Musa "Musa nini umeshika mkononi? " Nakuuliza na wewe nini umeshika mkononi kwako? Au bado unasubiri?
(8) Una Tabia ya kulaumu wengine, Serikali, mifumo nk kama sababu ya kushindwa kwako. Hivi wewe Unadhani waliofanikiwa hawakuwa na watu wa kuwatupia lawama? Walifanyaje sasa?
(9) Unaogopa kuchekwa na Kusemwa. Yesu mwenyewe alisemwa na kutukanwa sembuse wewe. Mohamed S.W. alitukanwa na kufukuzwa kabisa mwanzoni wewe ni nani usichekwe?
(10) Huna malengo yako. Huna wimbo wako. Huna sababu yako. Huna kitu unachokisimamia. Lazima upeleleshwe kama vumbi. Usipelekeshwe kwasababu gani?
Karibu Oriflame