Showing posts with label Fursa. Show all posts
Showing posts with label Fursa. Show all posts

Friday, May 5, 2017

Sababu 10 (kumi) za kwanini hatufanikiwi kimaisha

Sababu kumi kwanini hutafanikiwa kimaisha:


(1)   Huna tabia ya kupaza sauti yako ili dunia isikie mahitaji yako na ndoto yako,  zaidi upo busy kuongelea Udaku na Maisha ya wengine . Are you serious?

(2)  Umepanda gari lisilo sahihi halafu unataka kufika sehemu sahihi.... Kivipi kwa mfano?

(3)  Kila unachokipata unakula tu bila kujali kuwa unakula na mbegu. Ni akili hizo?

(4) Umezungukwa na Wanafiki,  wambea, wanoko wasiojali ndoto zako. Na unahangaika kuwafurahisha kana kwamba unalipwa.
Tatizo ni nini?

(5)  Kichwa chako kimejaa visingizio vingi kana kwamba utaishi milele duniani. Hivi umesahau Muda umeisha?

(6) Una tabia ya kuishi kwa mihemko na kufuata mkumbo. Ukisikia hiki upo,  ukisikia kile umo.. Huna maamuzi yako, unapelekeshwa kama roboti. Hivi Mungu aliumba kichwa cha nini?

(7) Una tabia ya kusubiri sana mambo yakae Sawa. Subiri sana Wakati wenzako wanaanza na kile walichonacho mkononi. Umesahau Mungu alimuuliza Musa  "Musa nini umeshika mkononi? " Nakuuliza na wewe nini umeshika mkononi kwako?  Au bado unasubiri?

(8) Una Tabia ya kulaumu wengine,  Serikali,  mifumo nk kama sababu ya kushindwa kwako. Hivi wewe Unadhani waliofanikiwa hawakuwa na watu wa kuwatupia lawama? Walifanyaje sasa?

(9) Unaogopa kuchekwa na Kusemwa. Yesu mwenyewe alisemwa na kutukanwa sembuse wewe. Mohamed S.W. alitukanwa na kufukuzwa kabisa mwanzoni wewe ni nani usichekwe?

(10) Huna malengo yako. Huna wimbo wako. Huna sababu yako. Huna kitu unachokisimamia. Lazima upeleleshwe kama vumbi. Usipelekeshwe kwasababu gani?

Karibu Oriflame

Thursday, May 4, 2017

Je unatafuta kazi na unatamani kujiajiri mwenyewe kwa kianzio kidogo wahi sasa

Kamata mpunga kwa nataka sasa

Unapenda nianze na mfano juu mdogo

       Akitokea mtu akakwambia njoo huku utapata pesa haraka kimbia hakuna pesa ya rahisi kiasi hicho.

Na ukiona imekuja kirahisi ujue itaondoka kiurahisi vilevile.

kwa experience yangu kwenye biashara ya mtandao, naomba nikushauri wewe unaetaka kuungana nasi kwenye industry hii kwamba, Network marketing ni njia rahisi ya kupata pesa , wala sio bahat nasibu, ni biashara inayohitaji  muda, uvumilivu, kufanya kazi, kama biashara nyingine yeyote ile.....lakini nakupa uhakika kwamba.ni biashara ambayo ambayo mtu yeyote mwenye njaa na mafanikio anaweza kufanikiwa kwa sababu haiitaji elimu wala cv na ipo flexible sana
Kuwa makini usibwebwe na mihemko
 Karibu oriflame leo

Ahsante
Waweza kutupata kwa mawasiliano au njia ya mitandao ya kijamii

WhatsApp. 0659451141
                     0765896355/0684127127
Facebook. Afya daily
Instagram .Mr welfare

Wednesday, May 3, 2017

Je wewe ni kijana na ungependa kupata ajilra ya kujiajiri mwenyewe kwa mtaji ndogo?

Leo wapenzi wasomaji wa makala hii napenda kukutambulisha kwako fursa mpya kabisa kutoka katika kampuni ya Oriflame
 Image result for oriflame
Orliflame ni kampun ya kutoka Sweden iliyoanzishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia  zinazotokana na mimea, matunda, maua, maziwa, asali, na mazao ya baharini. Ni bidhaa za kutumia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na watoto. Neno ORIFLAME ni la kiswidish likuwa na maana ya ASILIA
Orliflame inatupa fursa za aina tatu:
1. KUPENDEZA : kwa kuanza kutumia sisi wenyewe, LOOK GREAT.
2. KUTENGENEZA PESA:
3. KUFURAHIA MAISHA.

Hapa nirarudia jinsi ya kutengeneza pesa ambako kuko kwa aina tatu;
1. Ukiwa member unanunua kwa punguzo la asilimia 23.
2. Kwa njia ya bonus .
3. Cash award.

Tukiwa na ndoto zetu ni dhahiri baadhi (km sio zote) zitatimilika kutokana na biashara hii. Mwenye nfotovya kusafiri, kujenga, kusoma au kusomesha.... Mdogomdogo ndoto hiz zitatimia.
 OK Napenda kukumbushia namna ya kupata faida nzuri na kukamilisha ndoto zetu na Oriflame.
BONUS ,
Kila bidhaa unayonunua Oriflame ina point imeandikwa bp kadhaa,hizo bp ndizo zinatengeneza bonus, kuanzia bp 200 utalipwa bonus. Na hizi ni za kwako na team yako, yaani na wale walioingia chini yako yaan downliners wako.
mf umeingiza watu wa 3mwezi huu na hao wakafanya manunuzi ya bp 100 kila mmoja, jumla zitakuwa 300na za kwako 400,utakuwa 3%.
mwezi ujao wale nao wakiingjza wa 3,kila mmoja wao atakuwa na team ya watu 4,Nawewe unaingiza 3 tena.Jumla utakuwa na member 15.Na kila mmoja kafanya bp 100,Jumla utakuwa na bp 1600 ambayo sawa na 9%. Na tofauti ya wale wa chini yako utalipwa tena.
Hiyo ndio mtandao au network business.

 Kuanzia 12% hadi 18% utaitwa Manager.
21% ni Senior Manager. Senior Manager akiwa kwenye cheo hicho mara 6 ndan ya mwaka anapanda na kuwa Director na kupewa dollar 1000 kama cash award (pongezi) tofauti na bonus yake .
cha muhimu ni kuwa na team kubwa na ya kuchapa kazi, huwezi kuwa Manager kama huna wa kumuongoza, unganisha wengine wengi. Biashara hii haina ubaguzi wa elimu, umri wala itikadi. Amua leo kuwa boss wa biashara yako (your own boss), haihitsji mtaji mkubwa wala frame

 Oriflame inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi, kila bidhaa unayonunua ina point naujumulishwa mwisho wa mwez unalipwa bonus kuanzia point 200 kwenda juu.
Hii ni point table
200~599=3%
600~1200=6%
1200~2399=9%
2400~3999=12%
4000~6599=15%
6600~9999=18%
10000=21%
Hiyo ndio table point na bonus yake iko hivi:
3%= 4700~14000sh
6%=sh 28100~56200
9%=84,300~168,600sh
12%=224,900~374,800
15%=468,600~773,100
18%=927,800~1,405,700
21%=1.6M +++++
Hii inategemea network yako imekaaje

 Haihitaji ujue mambo mengi.  Ni yale yale lakini uyafanye mara kwa mara.

 Jambo  la msingi inahitaji
1. Determination
2. Hard work
3. Focus
Matunda lazima utayaona

 Siri 5 za kufanikiwa ni
1. Malengo
2. Recruit
3. Train
4. Recruit
5. Train