Friday, May 5, 2017

Sababu 10 (kumi) za kwanini hatufanikiwi kimaisha

Sababu kumi kwanini hutafanikiwa kimaisha:


(1)   Huna tabia ya kupaza sauti yako ili dunia isikie mahitaji yako na ndoto yako,  zaidi upo busy kuongelea Udaku na Maisha ya wengine . Are you serious?

(2)  Umepanda gari lisilo sahihi halafu unataka kufika sehemu sahihi.... Kivipi kwa mfano?

(3)  Kila unachokipata unakula tu bila kujali kuwa unakula na mbegu. Ni akili hizo?

(4) Umezungukwa na Wanafiki,  wambea, wanoko wasiojali ndoto zako. Na unahangaika kuwafurahisha kana kwamba unalipwa.
Tatizo ni nini?

(5)  Kichwa chako kimejaa visingizio vingi kana kwamba utaishi milele duniani. Hivi umesahau Muda umeisha?

(6) Una tabia ya kuishi kwa mihemko na kufuata mkumbo. Ukisikia hiki upo,  ukisikia kile umo.. Huna maamuzi yako, unapelekeshwa kama roboti. Hivi Mungu aliumba kichwa cha nini?

(7) Una tabia ya kusubiri sana mambo yakae Sawa. Subiri sana Wakati wenzako wanaanza na kile walichonacho mkononi. Umesahau Mungu alimuuliza Musa  "Musa nini umeshika mkononi? " Nakuuliza na wewe nini umeshika mkononi kwako?  Au bado unasubiri?

(8) Una Tabia ya kulaumu wengine,  Serikali,  mifumo nk kama sababu ya kushindwa kwako. Hivi wewe Unadhani waliofanikiwa hawakuwa na watu wa kuwatupia lawama? Walifanyaje sasa?

(9) Unaogopa kuchekwa na Kusemwa. Yesu mwenyewe alisemwa na kutukanwa sembuse wewe. Mohamed S.W. alitukanwa na kufukuzwa kabisa mwanzoni wewe ni nani usichekwe?

(10) Huna malengo yako. Huna wimbo wako. Huna sababu yako. Huna kitu unachokisimamia. Lazima upeleleshwe kama vumbi. Usipelekeshwe kwasababu gani?

Karibu Oriflame

Thursday, May 4, 2017

Je unatafuta kazi na unatamani kujiajiri mwenyewe kwa kianzio kidogo wahi sasa

Kamata mpunga kwa nataka sasa

Unapenda nianze na mfano juu mdogo

       Akitokea mtu akakwambia njoo huku utapata pesa haraka kimbia hakuna pesa ya rahisi kiasi hicho.

Na ukiona imekuja kirahisi ujue itaondoka kiurahisi vilevile.

kwa experience yangu kwenye biashara ya mtandao, naomba nikushauri wewe unaetaka kuungana nasi kwenye industry hii kwamba, Network marketing ni njia rahisi ya kupata pesa , wala sio bahat nasibu, ni biashara inayohitaji  muda, uvumilivu, kufanya kazi, kama biashara nyingine yeyote ile.....lakini nakupa uhakika kwamba.ni biashara ambayo ambayo mtu yeyote mwenye njaa na mafanikio anaweza kufanikiwa kwa sababu haiitaji elimu wala cv na ipo flexible sana
Kuwa makini usibwebwe na mihemko
 Karibu oriflame leo

Ahsante
Waweza kutupata kwa mawasiliano au njia ya mitandao ya kijamii

WhatsApp. 0659451141
                     0765896355/0684127127
Facebook. Afya daily
Instagram .Mr welfare

Wednesday, May 3, 2017

kwa wenye uso wenye mafuta,chunusi,na madoa doa meusi

Leo ningependa nizungumzie bidhaa iitwayo   Optimals white





Ni maalum kwa mtu Mwenye mafuta usoni yaani (Oil skin) pia ni kwa mtu Mwenye umri wowote ule!

Optimals ni set ya product 4
Ambazo ni
Cleanser
Toner
Day cream
Night cream



Cleanser ya optimals
Hii inasidia kuondoa vumbi ,uchafu wa Siku nzima ulio piata usoni na kutoa make up uliyo paka Siku hiyo..! Na kucha uso wako msafi na kuzibua matundu iili  ngozi ipumue


Toner ya optimals

Hii inatoa  uchafu ulio baki na kuziba matundu ya ngozi yako  sasa hapa kama unachunusi au mafuta toner inafyonza mafuta hayo na kukausha ...,pia tukumbuke kuwa sio siku Hiyo hiyo chunusi zinakauka na kuondoka Hapana ..endelea kutumia na utaona matokeo

Kabla ya kutumia 
     Unatakiwa kuitikisha toner yako kabla hujatumia  ili ichanganyikane vizuru



Day cream ya Optimals

Hii inasaidia kulinda  ngozi yako kutokana na mazingira ikiwa jua,baridi  kwa sababu mazingira na stress ndio vinaharibu ngozi.

Pia ina lightening kwahiyo inakupa  mg' ao amazing ( radiant colour)
N:B haichubui.

 Night cream ya Optimals
Hii inasaidia kulisha  ngozi yako wakati wa usiku.

Pia ina I boost ngozi yako na kuilisha  Chakula maana bidhaa hizi ni za asiili

 Ukitaka kumpa Mteja wako hakikisha ana oil skin!

 Tea tree product!
Bidhaaa za love nature hizi ziko asilii mnoooo ni kwaajili ya oil skin ( mtu Mwenye mafuta)

 Umri wa aina yoyote ile anaafaa kutumia hizi bidhaa

Hizi tea tree Mara nyingi Zina wakaa  vizuri watu ambao ni sensitive skin..! Na kuna Wengine waki tumia ambao ni oil tuu wana tutumuka zaidi...hii bidhaa ipo selective sana ..ndio maana kuna umuhimu wa kumpima mtu ngozi....!!


Anatutumka kwa nini????
Kwa sababu chunusi zake zipo ndani na nje ...au tuna sema zimeanzia ndani ni other way ..

Kwahiyo za ndani zinatoka sasa !! Hapa mtu ikitokea  hivi asiaƧhe kutumia tena ndio itaenda  kumkaa  vizuri zaidi maana itamaliza tatizo lote.

Kuna watu huwa wana wapa watu waliotumia cream Kali teatree sababu tuu anangozi ya oil ...!!
Mpe love nature alovera maana ile itapoza ngozi yake hata kama ni oil kwa sababu ina balance and generate.

Cleansing gel
Hii ina toa uchafu kama kawaida na make up za Siku nzima.

Face toner
inasaidia kuziba matundu na kuandaa ngozi kupata kitutubisho kingine,

 Face lotion
Hii pia inasaidia ku balance ngozi yako na kukupa Mwanga  kuimalisha ngozi yako.


Badilisha mwonekano wa ngozi yako kwa kutumia bidhaa zetu

Tunakuhudumia popote pale ulipo
Mawasiliano
WhatsApp 0765896355/0684127127
                    0746232801
Facebook page .Afya daily
Instagram. Mr.welfare

Sabuni mahili thidi ya uchafu usoni na kuandaa uso kwa ajili ya kupata mafuta

Hii ni Sabuni ya kunawia usoni kabla ya kupata mafuta  na Ina kazi zifuatazo:

Huondoa uchafu usoni kabla ya kupata mafuta

Kwa mtu Mwenye mafuta na anayesumbuliwa na chunusi 

Huimalisha na kufanya ngozi kupendeza
2.

3.
4.

5.

6.

7.

Wasiliana nasi kuwa bidhaa na kwa ushauri kupitia namba za simu  

WhatsApp 
0659451141 or 
0765896355/0684127127
Facebook 
well Jambo
Pia tembelea page yetu Facebook 
Afya Daily

Je ngozi yako imefubaa,mabaka meusi,chunusi,na unahitaji ngozi yako kung'ara


            1.Novage ni mafuta asilia yanaofanya kazi ya kung'alisha ngozi iliyofubaa na kufanya kuwa soft na yenye afya
2.chunusi na mabaka 



3.
Huondoa weusi
Magotini
Shingoni
Mapajani
Kwapani



4.kwa wenye  umri kuanzia miaka 40 

5.kazi zingine za novage bright


Je wewe ni kijana na ungependa kupata ajilra ya kujiajiri mwenyewe kwa mtaji ndogo?

Leo wapenzi wasomaji wa makala hii napenda kukutambulisha kwako fursa mpya kabisa kutoka katika kampuni ya Oriflame
 Image result for oriflame
Orliflame ni kampun ya kutoka Sweden iliyoanzishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia  zinazotokana na mimea, matunda, maua, maziwa, asali, na mazao ya baharini. Ni bidhaa za kutumia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na watoto. Neno ORIFLAME ni la kiswidish likuwa na maana ya ASILIA
Orliflame inatupa fursa za aina tatu:
1. KUPENDEZA : kwa kuanza kutumia sisi wenyewe, LOOK GREAT.
2. KUTENGENEZA PESA:
3. KUFURAHIA MAISHA.

Hapa nirarudia jinsi ya kutengeneza pesa ambako kuko kwa aina tatu;
1. Ukiwa member unanunua kwa punguzo la asilimia 23.
2. Kwa njia ya bonus .
3. Cash award.

Tukiwa na ndoto zetu ni dhahiri baadhi (km sio zote) zitatimilika kutokana na biashara hii. Mwenye nfotovya kusafiri, kujenga, kusoma au kusomesha.... Mdogomdogo ndoto hiz zitatimia.
 OK Napenda kukumbushia namna ya kupata faida nzuri na kukamilisha ndoto zetu na Oriflame.
BONUS ,
Kila bidhaa unayonunua Oriflame ina point imeandikwa bp kadhaa,hizo bp ndizo zinatengeneza bonus, kuanzia bp 200 utalipwa bonus. Na hizi ni za kwako na team yako, yaani na wale walioingia chini yako yaan downliners wako.
mf umeingiza watu wa 3mwezi huu na hao wakafanya manunuzi ya bp 100 kila mmoja, jumla zitakuwa 300na za kwako 400,utakuwa 3%.
mwezi ujao wale nao wakiingjza wa 3,kila mmoja wao atakuwa na team ya watu 4,Nawewe unaingiza 3 tena.Jumla utakuwa na member 15.Na kila mmoja kafanya bp 100,Jumla utakuwa na bp 1600 ambayo sawa na 9%. Na tofauti ya wale wa chini yako utalipwa tena.
Hiyo ndio mtandao au network business.

 Kuanzia 12% hadi 18% utaitwa Manager.
21% ni Senior Manager. Senior Manager akiwa kwenye cheo hicho mara 6 ndan ya mwaka anapanda na kuwa Director na kupewa dollar 1000 kama cash award (pongezi) tofauti na bonus yake .
cha muhimu ni kuwa na team kubwa na ya kuchapa kazi, huwezi kuwa Manager kama huna wa kumuongoza, unganisha wengine wengi. Biashara hii haina ubaguzi wa elimu, umri wala itikadi. Amua leo kuwa boss wa biashara yako (your own boss), haihitsji mtaji mkubwa wala frame

 Oriflame inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi, kila bidhaa unayonunua ina point naujumulishwa mwisho wa mwez unalipwa bonus kuanzia point 200 kwenda juu.
Hii ni point table
200~599=3%
600~1200=6%
1200~2399=9%
2400~3999=12%
4000~6599=15%
6600~9999=18%
10000=21%
Hiyo ndio table point na bonus yake iko hivi:
3%= 4700~14000sh
6%=sh 28100~56200
9%=84,300~168,600sh
12%=224,900~374,800
15%=468,600~773,100
18%=927,800~1,405,700
21%=1.6M +++++
Hii inategemea network yako imekaaje

 Haihitaji ujue mambo mengi.  Ni yale yale lakini uyafanye mara kwa mara.

 Jambo  la msingi inahitaji
1. Determination
2. Hard work
3. Focus
Matunda lazima utayaona

 Siri 5 za kufanikiwa ni
1. Malengo
2. Recruit
3. Train
4. Recruit
5. Train

Je umeharibiwa na uso kwa kutumia mkorogo na unataka kurejesha ubora wa ngozi yako ?



Je  wewe ni mhanga wa watu waliojichubua? Karibu ujipatie bidhaa madhubuti kabisa

Kazi zifanywazo na aloevera natural 1.Inarejesha hali ya ngozi iliyoharibika kutokana na mkorogo au kujichubua 2.Inaondoa wekundu au madoa yaliyojitokeza kwa sababu ya vidonda au mkorogo 3.Inang'alisha ngozi na kuoneka mrembo 4.Inaondoa mabaka baka  na kuiacha ngozi kuwa na Rangi moja

ZIFAYE NYWELE ZAKO KUWA NDEFU NA BORA

MAFUTA 5 YA NYWELE YA KUJARIBU KWA MA-NATURALISTA

Hey Loves, wale ma-naturalista hii inawahusu sana. Kama una natural hair unatakiwa kujua ni mafuta gani ya kutumia ili nywele zako zikuwe vizuri, zi-shine, ziwe nzito..na all this inategemea na products unazotumia katika nywele zako. Starting from mafuta, shampoo, conditioner na mazagazaga mengine mengi..leo hii nawaletea mafuata ambayo unatakiwa ujaribu kwa your natural hair ili uweze kujua which one among these yatafaa nywele zako..as you know kila mtu ana nywele tofauti.
Haya Ndio Mafuta Ya Kujaribu Katika Natursl Hair::
1.JOJOBA OIL.
  • Jojoba oil yana the same molecular structure na yale mafuta ambayo yanatengenezwa na ngozi ya kichwa chako mwenyewe(scalp)..hivyo yanakubalika na kichwa. A lot of women wenye natural hair huwa wanayatumia haya sana.
  • Unaweza kutumia jojoba oil kuchanganya kwenye your home made deep conditioner au hata hair mask..ingia HAPA kujua jinsi ya kutengeneza.
  • Jojoba oil yenyewe unaweza kuyatumia as a moisturizer, yanalainisha nywele na kuepusha nywele zisikakamae.
  • Yanarejesha nywele zilizo haribika kutokana na heat kwa wale mnao piga pasi/kunyoosha natural hair zenu..na unaweza ukayapaka kila siku kwasababu ni mepesi.

2.CASTOR OIL.
  • Castor oil yana natural anti-bacterial, vitamin E na protein kwa wingi ambayo inasaidia kukuza nywele zilizo katika na kuepusha nywele kukatika..so kama una shed sana nywele jaribu haya.
  • Inasaidia kuondoa mba kichwani na kuponya vidonda vya fungus kichwani, chukua mafuta haya na uwe una massage polepole kichwani.
  • Inasaidia kukuza nywele mara 3 haraka kuliko uotaji wa kawaida, wengi wanayotumia haya wanasema kuwa nywele zao zimekuwa haraka sana.

*Unaweza mix Jojoba na Castor oil ukapaka kwa pamoja for better results.
Ingia HAPA kusoma benefits zingine za Castor oil.

3.COCONUT OIL.
  • A lot of naturalistas wanatumia sana coconut oil, yana low molecular weight na hivyo usiljai kuhusu nywele zako kuzidi mafuta, unaweza paka kila siku.
  • Yana-moisturize na hydrate nywele, ukipaka yana saidia kuvuta unyevu na kuzipa nywela maji ili zisikakamae..hivyo ni mazuri kwa wale wenye nywele kavu.
  • Unaweza kutumia kama conditioner, ukisha osha nywele zako unapaka haya. Unatumia pia kukuza nywele, kuondoa mba.

4.AVOCADO OIL.
  • Haya yana nutrients nyingi, kama vile Vitamin A,B,D&E, Protein, Iron, Magnesium ambazo husaidia kukuza nywele pia.
  • Yana saidia nywele zilizokatika, yanalainisha na kung'arisha nywele na hata kuzilinda against the sun..yani ni kama SPF.
  • Unaweza ukayachanganya na shampoo ukiwa unaosha nywele zako, au hata kwenye deep treatment utakayotengeneza.

5.OLIVE OIL.
  • Haya ni great sealant kama coconut oil, yani yanasaidia ku-trap maji/unyevu kwenye nywele zako ili zisikauke na kukakamaa.
  • Pia yanasaidia kwa wale wenye mba.
  • Yanafaa kwa wale wenye sensitive skin, sio rahisi kupata allergic reaction.
  • Unaweza kuongezea olive oil katika conditioner yako ili upate better results.

Wednesday, February 1, 2017

tatizo la kichomi kubana

KAMA UNASUMBULIWA NA KICHOMI. VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo. Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya. Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi. Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic Dalili za minyoo Jambo la kuangalia ni je? Unashikwa kichomi ukiwa unatembea? Umeinama au umelala Ukishakula chakula Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo. Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng’enyui sawasawa linachoka. Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo. Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia mzunguko wa damu mwilini.hasa kama hunywi maji. SOMA ZAIDI KUTOKA

Friday, December 23, 2016

afya ya mama na mtoto